Kiswahili News

Vidokezi vya Kuchunguzia Kirusi Cha Korona Afrika

November 18, 2020

Wanahabari wapekuzi wa Afrika wanafanya kazi muhimu ya kutoa maelezo na ufafanuzi wa pandemia ya kirusi cha korona inayokua barani, na kuziwajibisha serikali. Makala ya upekuzi yamezindua baadhi ya serikali zilizokuwa zimezubaa katika utayari kwa ajili ya kirusi cha korona. Kadhalika, makala za upekuzi za hivi karibuni zimezindu utumizi mbaya wa fedha kupitia tiba bandia […]

Miongozo ya Uanahabari wa Upekuzi

November 18, 2020

Uanahabari wa Upekuzi Uanahabari wa Data Kufunza na Ukufunzi Miongozi Mingine Muhimu Kihispania Pekee Je, unatafuta vidokezi, vifaa na mafunzo? Miongozo ifuatayo inaangazia uanahabari wa upekuzi na inatoa vielelezo na mifano kutoka duniani kote. Mingi ya miongozo haina malipo. Unaweza pia kupata  miongozo hizo kwa lugha za Kichina na Kihispania. Je, una nyongeza ungependa kushirikisha na wengine? […]

Vifaa Vya Kutafitia Mtandaoni

November 18, 2020

Kwa muda mrefu, vifaa vya kutafitia mtandaoni na mbinu za upekuzi zilizotayarishwa na mpekuzi mbobezi wa mtandaoni wa shirika la BBC Paul Myers zimekuwa chanzo cha kutafiti mtandaoni kwa wasomaji wa GIJN. Tovuti yake, Kliniki ya Utafiti, ina ukwasi wa linki za kutafitia na “nyenzo za kujifunzia.” Hivi hapa vidokezi kuhusu jinsi ya kuwatafuta watu […]

Kutumia Utafiti wa Rununu Kuchunguzia Mgogoro wa Sudan Kusini

November 18, 2020

Ndani ya kipindi cha wiki chache, milionea wa Sudan Kusini Joseph Lugala Wani alipoteza karibu kila kitu alichokuwa nacho. Hoteli moja na maduka 10 yaliharibiwa. Yaliporwa na kuchomwa. Miezi kadha baadaye, Wani aliyegeuzwa mkimbizi wa mjini alitueleza tulipomkuta kwenye nyumba ndogo yake ya kupanga nchini Uganda, kuwa wanajeshi wa serikali ndio waliomfanyia hayo. Waliweka magurudumu […]

Kuripoti Kuhusu Kirusi cha Korona Barani Afrika: Orodha Jumuishi ya Maudhui ya Makala

November 18, 2020

Screenshot: Johns Hopkins University & Medicine Map Ni njia gani bora kabisa ya kufanya makala kuhusu kirusi cha korona? Chagua hoja au maudhui fulani. Haijalishi kwa kawaida huwa unaripoti kuhusu nini kwa sababu pandemia hii inajipenyeza katika karibu kila taarifa. Kutokana na hilo, taasisi ya African Centre for Media Excellence (ACME) yenye makao yake jijini Kampala, […]